naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus
Origin: ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus
ATI budako ni mzee Hadi akona kaburi Kwa makende
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch
Origin: kisumu chiga
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi
Origin: nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi
Mumesota ady ua mnakula ugali na stori ya nyama
msee akona maskio kubwa hadi anashika waves za safaricom
Ua unalala kama umekunja ngumi juu uliskia yesu anakam kama mwizi
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
ngozi ya nyanyako in tight mpaka akifunga jicho moja mguu inainuka