Origin: Unknown
Use: 1. Simo alipewa jana design bado ana tuna mpaka saa hii = Simon got so drunk yesterday such that he is still asleep now 2. Jeff alipewa na Lucy = Jeff got some sex from Lucy
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Inflected verb) [ a-li-pe-wa ]
Variations: -,
History: Borrowed from Swahili word pewa which means be given
No replies yet. Start the conversation.
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu
Asubuhi asubuhi goodygoody na makojo ya ngamia
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
kwenu ni ocha sana hadi sms ikifika unaipanguza vumbi