Origin: Unknown
Use: Ma MP ndio wanapenda ksanya mali ya uma = Members of parliament are the ones who steals the public funds
Period: Late 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ksa-nyah ]
Relate: Kusanya Kugondi Kuthanya Kudhanya Kudingo Kupinji Kugosa
History: Derived from the sheng word 'KUSANYA' which means to 'STEAL'
No replies yet. Start the conversation.
We ni mzee Hadi ukifanya 180 unahara bluband.
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut
Wewe ni mweusi mpaka ukitumia mtu Selfie inajiandika scratch to reveal.