Origin: Easich
Use: Ndani ya hiyo clabu nili zua ngori = Inside that club i caused trouble
Period: Mid 90's
Synonyms: Zua noma Leta noma zua ngori
Pronounciation: (Verb) [ Zoo-ah-ge-nje ]
Relate: Blanda
History: Derived from swahili and sheng words 'ZUA' in swahili means 'TO CAUSE TROUBLE' while 'NGORI' is ni sheng meaning 'TROUBLE'
No replies yet. Start the conversation.
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
ety ww n mrefu Hadi unagotea mungu