Origin: Unknown
Use: Sheng ilistartishwa zamo = Sheng was started a long time ago
Period: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Zah-moh ]
History: Derived from Swahili word "Zamani"
No replies yet. Start the conversation.
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on