Search
Origin: Unknown
Use: Hebu yebi hii burungo = Check out this thing
Period: Mid 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ ye-bee ]
Relate: Cheki Kiche Shuvu Shufu
Variations: -,
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
ATI we ni mkonde Hadi una miss mvua
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
Una matiti so mpaka we uzitupa kwa mgongo times za kuosha manguo
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy