Wewe ni fala unarewind CD na biro pen
We ni mzee Hadi ukifanya 180 unahara bluband.
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi