Origin: Unknown
Use: Kuna wochi mzae kwa gate leo = There's an old watchman at the gate today
Period: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ woh-chi ]
Variations: Watchi, Watchie, ,
History: Derived from the English word, Watchman
No replies yet. Start the conversation.
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
Kwenu ni kuchafu mpaka mende zenu huvaa slippers
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut