Origin: Unknown
Use: Wachana na Omosh yeseye ni werii = Leave alone with Omondi he is just a fool
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Verb) [ weh-ree ]
Relate: Fyatuks Fyatuka Chizi Mwenda
No replies yet. Start the conversation.
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
wee ni mnono hadi ukikalia novel zinakuwa short stories!
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”