Origin: Unknown
Use: 1. Hiyo story yako ni wembe!!! = That story is a lie 2. Hizi ndula ni wembe sana! = These shoes are very hot!
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ wem-be ]
History: 1. From Swahili phrase "Kunyoa mtu na wembe" ... meaning to lie 2. From Swahili word wembe which means razor blade. Sheng takes on the sharpness of a blade to mean deadlie
No replies yet. Start the conversation.
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa
Asubuhi Asubuhi avocado na arufu ya vitungu