Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
wee ni mnono hadi ukikalia novel zinakuwa short stories!
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy