Origin: Unknown
Use: Wale ma boy hubangaiza pale ni waudoo = Those boys who usualy chill there are bad people
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ Wah-oh-doo ]
No replies yet. Start the conversation.
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
NASKIA WEWE NI MZEE MPAKA NUNA MEA KITUNGU KWA MAKWAPA
auna nywele mbaka ukienda Kwa kinyozi una ambiwa boss atu nyoi matako
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.