Origin: Uknown
Use: Natumia warosho ni fike home haraka. = I'm using this alley to get home quickly.
Period: Mid 90's
Synonyms: Chuom, Orosho, Mpenyo
Pronounciation: (Noun) [ wa-roh-sho ]
History: Uknown
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes
Una incisors ndefu adi ukisneeze unajichimba kifua
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakipea ya green ukasema nope ile imeiva