Origin: Unknown
Use: Mimi hubambika na vako ya warasta = I am so impressed with the style the people with dreadlocks have
Period: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ wah-rah-s-tah ]
History: Originated from the word ''rastaman/woman
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
Una incisors ndefu adi ukisneeze unajichimba kifua
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa
naskia baba yako ni mlafi hadi huwa ana ficha gither kwa warlet