Origin: Unknown
Use: Hiyo bash ime jaa tu na waniaju!! = That party is just full of kids!
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ wa-ni-a-joo ]
Variations: Wanyaju,
History: Reverse sheng version of junior which means kid/child
No replies yet. Start the conversation.
eti uko so shy hadi gotha yako iko na collar
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Maskio kama mlango ya probox
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji