Origin: Unknown
Use: Ukinyongwa, teremsha na waba = If you choke, wash it down with water
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ Wa-bah ]
Relate: Ngiayi Juo Jiu Tei Shawa
Clarification: Not to be confused with Wabe, which is an aye or yes response.,
No replies yet. Start the conversation.
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani