Origin: Unknown
Use: Vip bana! umepotelea wapi mtunguyas. = Whats up man! you are lost how have been.
Period: Unknown
Synonyms: Vipi, Vopo, Niaje, Nijea
Pronounciation: (Verb) [ veep ]
Relate: Sema, Mambo, Story, Risto
History: Originated from the swahili word ''vipi'' meaning ''how'' but in sheng is agreating asking how you are doing or whats up.
No replies yet. Start the conversation.
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Balls zako bigi sana mpaka ukipiga shower unaziweka kwa rack zikauke
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa