Origin: Unknown
Use: Njesh anataka kuwa Vedi = Njeri wants to be a police woman
Period: Unknown
Synonyms: Gova Karao Ponyi Sonyi
Pronounciation: (Noun) [ veh-dee ]
Relate: Nganya Pedi Donda Bonoko Kanjo Chokosh Jiji Sos
No replies yet. Start the conversation.
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa