Origin: CBD
Use: Ule mdem tukiwa chuo alikuwa na umbenye = When we were in school she used to spread rumours
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Umbe-nye ]
Relate: Parasha
No replies yet. Start the conversation.
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy
We ni mkonda hadi uki dance helicopter una take off…
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans