nasikia we niweusi hadi una aribia makka fashion
kwenu nyinyi ni wezi hadi Ali baba and the 40 thieves walikam attacho kwenu.
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
shosho yako ni mzee hadi wameandika kwa matiti no milk yes yoghurt