Origin: Unknown
Use: 1. Nakskia ubao jo! = I'm hungry! 2. Ubao ina ni have design double homicide tu ndio ita ni sort! = Hunger is killing me such that only two quarter chickens will sort me out!
Period: Mid 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ oo-ba-o ]
Variations: -,
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mweusi mpaka wameandika “scratch to reveal” kwa I.D yako
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool