First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakupea ya green ukasema nope ile imeiva
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Unamdomo bigi we hukula avocado kama njugu
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
Una incisors ndefu adi ukisneeze unajichimba kifua