Origin: Unknown
Use: wesewe ni todhii = You are such a fool
Period: Unknown
Synonyms: Tost Weri Ngamwe Dwanzi Mwere
Pronounciation: (Noun) [ Toh-dhee ]
Relate: Fyatuks Fyatuka Utodhi Utost Ungamwe Uchizi
No replies yet. Start the conversation.
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”
Budako huhepa job ku-slide na socks
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy