Origin: Unknown
Use: Kilamtu avae thuti siku ya krisi = Everybody to wear a suite Christmas day
Period: Early 2000
Synonyms: Dhooti
Pronounciation: (Noun) [ Thoo-tee ]
Relate: Rodhii Wazango Ngotha Tisho Jampa Mbwenya Kotiko
History: Derived from the swahili word meaning
No replies yet. Start the conversation.
Dogi yenyu mzee mpaka kauzi aki'come,yumtemea mate
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”
Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi