Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta
Asubuhi asubuhi goodygoody na makojo ya ngamia