Search
Origin: Unknown
Use: Hii ni tenjekna ya nani inalia = Who's phone is this that is ringing
Period: Unknown
Synonyms: Tenje Nangos
Pronounciation: (Noun) [ teh-n-jek-nah ]
Relate: Vuta wire Mteja Bamba
History: Derived from the sheng word ''tenje''
No replies yet. Start the conversation.
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
nyumba yenu imetengenezwa na matope.