Origin: Easich
Use: Chalo ako na tendee wa kwake leo = Charles is with his girl today
Period: 2010 - 2013
Synonyms: Momiz Dame Manzi Mbus Msupa Supuu Chimama Mude Kwara Shpleng
Pronounciation: (Noun) [ teh-nde ]
Relate: Katia Mendea Chinjia Chali Keja Kondiecha Chipo Mchele
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
wewe ni mjinga… mpaka ulirepeat kunyonya.
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma