Origin: CBD
Use: Nikifikisha miaka salasa mimi nina tekana = When i reach thirty years i will marry.
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Tee-kaa-nah ]
Relate: Marika
History: Derived from a swahili word 'TEKA' which means to fetch
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”
nyumba yenu imetengenezwa na matope.
Asubuhi asubuhi harufu ya gumboot na BIG G
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers