Origin: Unknown
Use: Karis alibambwa na ma tap tap akatupwa stenje = Kariok is at the police station because he was found with hard drugs
Period: Mid 90's
Synonyms: Kichuri
Pronounciation: (Noun) [ tap-tap ]
No replies yet. Start the conversation.
Sistako mshort aneza temebea chini ya bed
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear