Origin: Unknown
Use: Ile moti ikona mataya noma = That car has good tyres
Period: Early 80's
Pronounciation: (Noun) [ Ta-eer ]
History: Derived from the english word
No replies yet. Start the conversation.
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust