wee ni mnono hadi ukikalia novel zinakuwa short stories!
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
We ni mkonda hadi uki dance helicopter una take off…
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu