nasikia weni mweusi hadi una aribia makka fashion
Wewe ni mweusi mpaka ukitumia mtu Selfie inajiandika scratch to reveal.
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
We ni mkonde hadi ukiegemea ukuta inaonekana ni kama Kuna crack.
Umezoea kutumia wasee please call me mpaka ukipress *130* simu ukutolea phone book ujichagulie.