BRIAN MAKORI
@user820
·
Kuna kitu infnyika
Origin: Unknown
Use: Bike ina ni letea show! Ime kata kustart = This bike is irritating me... it's refused to start
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ sho ]
History: unknown
Kuna kitu infnyika
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Sistako mshort aneza temebea chini ya bed
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!