We ni mnono hadi ukikunywa novida huwezi get lifted!
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Unamdomo bigi we hukula avocado kama njugu
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster