Origin: Unknown
Use: Mimi ndio wa seco kumada seco mtaani kwetu = I am the second one to clear secondary School at our place
Period: Unknown
Synonyms:
Pronounciation: (Noun) [ Seh-koh ]
Relate: Number, Education, Institution
History: Derived from the English word ''Second or Secondary''
No replies yet. Start the conversation.
Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine