Paul Safari
@user2502
ยท
poaa
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut ๐๐คฃ
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?