Susan Taylor
@susan_taylor
·
interesting
Origin: Unknown
Use: Naweka samdho kwa ndai = I'm putting my merchandise in the car
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Sa-m-tho ]
History: unknown
interesting
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
Balls zako bigi sana mpaka ukipiga shower unaziweka kwa rack zikauke
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original