We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi