Search
Origin: Uknown
Use: Naenda kuboti rothi kadhaa mako. = I am heading to the market to buy some trousers.
Period: Unknown
Synonyms: Trao, Toja, Roza, Rodhi
Pronounciation: (Noun) [ Roh-thee ]
Relate: Outfit, Clothing,
No replies yet. Start the conversation.
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
Vile nyinyi wagesi, budako akishika ten shillings, ati Moi ana baki na vest
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
eti uko so shy hadi gotha yako iko na collar