Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza