wewe ni mweusi mpaka wameandika “scratch to reveal” kwa I.D yako
UKo na macho kubwa hadi wewe huitwa eye witness
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.