Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
naskia baba yako ni mlafi hadi huwa ana ficha gither kwa warlet
Budako mblack akilala kwa road madere wanafikiri ni speed bump