ASUBUHI ASUBUHI githeri na colgate.
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.