Origin: Unknown
Use: Buuda siunipatie hii ndae nishie nayo rao = Hey pal give me a ride with that car
Period: Mid 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Adjective) [ Ra-oh ]
Relate: Ndae Baiki Honda Mbaadhe
History: Derived from the english word
No replies yet. Start the conversation.
Breathe yako sumu ukiyawn asubuhi jogoo hudedi
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.