Origin: Unknown
Use: Nilimaha kutoka ghetto siku hizi naishi poshi = I moved from the ghetto nowadays i live in one of the posh area in town
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ poh-shee ]
Relate: Esto Mbanyu Madinga Masho Goro Doo
History: Originated from the English word ''posh''
No replies yet. Start the conversation.
nasikia we niweusi hadi una aribia makka fashion
Wewe ni mweusi tu sana mpaka ukitupiwa mawe zinarudi zikisema hazijakucheki.
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
Dame yako amekonda hadi yeye huchungulia kwa key hole na macho zote mbili.
UKo na macho kubwa hadi wewe huitwa eye witness