Origin: jeri
Use: Pinji alibambwa akisanya kwa mat za Buru 58 = A thief was caught stealing from the Buruburu matatu route 58
Period: Mid 90's
Synonyms: Pocka Pocke Dingo Mgondi Msanyaji
Pronounciation: (Noun) [ Pee-n-jee ]
Relate: Sanya kugondi Kudingo Kuchuna
No replies yet. Start the conversation.
ATI budako ni mzee Hadi akona kaburi Kwa makende
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack