Origin: Unknown
Use: Hio ilikua pandisa tupu. = That was all a lie.
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ pah-nn-dii-sah ]
Relate: Risto Pang'ang'a Mepu Mra
No replies yet. Start the conversation.
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
Weh ni mnono mpaka bed yako ikona zgwembe.
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic