Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela