Origin: CBD
Use: mbota yangu ni oriji mzeiya = My watch is an original one my friend.
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Adjective) [ oh-ri-jih ]
Variations: orijee,
History: From the English word Original, denoting authentic
No replies yet. Start the conversation.
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Ati uligongwa na gari ya TRUST instead ya kuumia ukanyonji
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu