Origin: Unknown
Use: Usinisundie opilo kwa keroma yangu = Dont put pepper in my my food
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Oh-pee-lo ]
History: Derived from the swahili word 'PILIPILI'meaning 'PEPPER'
No replies yet. Start the conversation.
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Maskio yako kubwa ukiingia hoteli chai inapoa
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu